Reporter Tz

HABARI, MATUKIO KATIKA PICHA, MATUKIO, MICHEZO, SIASA, HABARI KIMATAIFA, BURUDANI, TEKNOLOJIA.

Thursday, 5 March 2015

SYRIA Yadaiwa Kumuua Kiongozi Wa Nusra

Na; Calvin Stanley(Reporter)
http://reporter03.blogspot.com/

Vyombo vya habari vya Serikali ya Syria vimesema jeshi limemuua kamanda wa kijeshi kutoka kundi la waasi lenye uhusiano na Al Qaeda, la Nusra Front.


Taarifa zinasema aliuawa katika mji wa Idlib ambapo viongozi wa Nusra Front walikuwa wanakutana.

Nusra front ni moja kati ya makundi yenye nguvu yanayopambana ili kumuangusha Rais wa Syria, Bashar Al Assad, kundi hilo pia lilihusika na shambulizi mjini Aleppo.

Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Syria ameweka wazi nia yake ya kufanya mazungumzo na Nusra Front ikiwa sehemu ya jitihada za kurejesha utulivu mjini Aleppo.

chanzo;bbcswahili

Posted by Unknown at 19:30
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: HABARI KIMATAIFA, MATUKIO

No comments:

Post a Comment

Newer Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2015 (3)
    • ▼  March (3)
      • Guinea huenda ikapata dawa.
      • Kampuni ya FORD yazindua baiskeli ya Umeme.
      • SYRIA Yadaiwa Kumuua Kiongozi Wa Nusra
Picture Window theme. Powered by Blogger.