Reporter Tz

HABARI, MATUKIO KATIKA PICHA, MATUKIO, MICHEZO, SIASA, HABARI KIMATAIFA, BURUDANI, TEKNOLOJIA.

Thursday, 5 March 2015

Kampuni ya FORD yazindua baiskeli ya Umeme.

Na; Calvin Stanley(Reporter)

kampuni ya kutengeza magari ya Ford imezindua baiskeli ya kielektroniki kwenye mkutano mkubwa wa magari duniani katika mpango wake wa upanuzi.


Kampuni zaidi za kutengeza magari zinatafuta njia mbadala za kutengeza pesa huku nyingi zikitengeza kile kinachoitwa kama uchukuzi wa haraka.

Baiskeli hizo zinazotumia umeme ziko aina mbili,moja inayotumiwa na wasafiri na nyengine inayotumiwa kufanya biashara.

Baiskeli zote mbili zina programu za smartphone zinazoweza kumuelekeza anayeziendesha.

Jaribio la baiskeli hizo ni miongoni mwa mipango ya kampuni ya Ford kubuni mbinu mpya ya usafiri huku ikifanya utafiti kuhusu vile baiskeli hizo zinzovyoweza kuingiliana na magari pamoja na usafiri wa uma.

''Kuna mbinu nyingi za kuzunguka mjini.Lakini kile kinachohitajika ni njia za kuunganisha mbinu hizi zote za usafiri pamoja amesema Ken Washington'',makamu wa rais wa kitengo cha utafiti cha Ford .

chanzo;bbcswahili

Posted by Unknown at 19:47
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: HABARI KIMATAIFA, MATUKIO KIMATAIFA

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2015 (3)
    • ▼  March (3)
      • Guinea huenda ikapata dawa.
      • Kampuni ya FORD yazindua baiskeli ya Umeme.
      • SYRIA Yadaiwa Kumuua Kiongozi Wa Nusra
Picture Window theme. Powered by Blogger.